HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Bidii ya mvulana mdogo aliyeanzisha kikundi chake cha muziki 

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu wiki hii tunamuangazia  kijana mwenye umri wa miaka 5 ambaye amejitosa kwenye sanaa ya uimbaji huku akiwa na kikundi chake cha muziki almaarufu wahenga wenyeji.
Mwanafunzi huyu almaarufu Chris mwenyeji vilevile ni mshairi.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga naye katika mtaa wa mathare na kutuandalia taarifa hii.

Show More

Related Articles