HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Naibu Rais Ruto ataka malumbano baina ya viongozi kukoma

Naibu Rais William Ruto ameonya viongozi wa kaunti ya Kiambu dhidi ya siasa na malumbano ambayo yamekuwa yakishuhudiwa baina yao wakiongozwa na Gavana Ferdinand Waititu na Naibu wake James Nyoro.
Ruto ameshikilia kuwa haiwezekani kwa kaunti ya Kiambu ikiwa ndio nyumbani kwa Rais Uhuru Kenyatta kuendelea kushuhudia malumbano ya viongozi wake huku akionya atawaadhibu vikali wasipokoma.

Show More

Related Articles