HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kijakazi amuua muajiri na mtoto wake mdogo,Muhoroni 

Polisi mjini Kisumu wanamsaka mfanyikazi wa nyumbani aliyemuuwa muajiri wake pamoja na mtoto wake mwenye umri wa miezi mitatu katika mtaa wa shauri moyo, eneo la Muhoroni.

Yadaiwa mshukiwa huyo ambaye ni raia wa Uganda alimyonga mtoto huyo kabla ya kumchoma kwa pasi moto na kisha kumdunga kisu mara kadhaa mama ya mtoto.

Show More

Related Articles