HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mahakama ya Rufaa yabatilisha ushindi wa Gavana Alfred Mutua

Gavana wa Machakos Daktari Alfred Mutua ameeleeka katika mahakama ya upeo akijaribu kubadilisha uamuzi wa mahakama ya rufaa iliyofutilia mbali uchaguzi wake kama gavana.

Kwingineko ni mbwembwe na nderemo kwa mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino baada ya mahakama ya rufaa kubadilisha uamuzi wa kumng’atua  kwa tuhuma za  kuwatishia wapiga kura.

Show More

Related Articles