HabariMilele FmSwahili

Miili yote ya waliofariki katika ajali ya ndege ya Fly Sax yatambuliwa

Miili yote ya waliofariki katika ajali ya ndege ya Fly Sax katika mlima wa Aberdare imetambuliwa. Familia za wahanga hao walikita kambi latika hifahi ya Lee ambakozoezi hilo liemfanyika. Kwa sasa shughuli ya upasuaji miili hiyo inatarajiwa kuanza kabla ya familia kuruhusiwa kuwachukua kwa ajili ya mazishi.

Show More

Related Articles