HabariMilele FmSwahili

Washukiwa 2 sugu wa uhalifu wauwawa Nairobi

Washukiwa wawili sugu wa uhalifu waliokuwa wakisakwa na polisi wameuwawa kwa kupigwa risasi karibu na hoteli ya Windsor hapa Nairobi. Polisi wa kupamabana na uhalifu waliwaandamana kabla ya kuwauwa na kupata bunduki aina ya ak47 na bastola moja

Show More

Related Articles