HabariMilele FmSwahili

Nyumba kadhaa zazama na zingine kupasuka kaunti ya Muranga

Wenyeji wa maeneo ya Muranga wameamkia matukio ya kutia hofu baada ya nyumba zao kuzama kina cha futi kumi ardhini. Akidhibitisa tukio hilo maneja wa shirika la msalaba mwekundu eneo la kati Gitonga Mugambi amesema kuwa zaidi ya nyumba 300 zimezama na zingine kupasuka katika maeneo ya Kangema Mathioya na kigumo. Anasema hali hiyo imechangiwa na mvua kubwa inayonyesha kaunti ya Muranga.

Show More

Related Articles