HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Je, tatizo la kimawasiliano kwa marubani lilipelekea

Je , kulikuwa na tatizo la mawasiliano kati ya marubani waliohusika kwenye ajali ya ndege na waelekezi wao katika  uwanja wa ndege?
Duru katika sekta ya usafiri wa ndege  zinaarifu kuwa wakati ndege hiyo ilipopata ajali ilikuwa ikiendeshwa kwa futi elfu 11 angani badala ya futi  elfu 15 kuweza kupaa juu ya milima ya Aberdare
Duru pia zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa ikipaa kwa urefu wa futi 12000 hadi ilipofika katika eneo la Longonot na kushuka kidogo hadi futi elfu kumi na moja na baadaye kugonga mlima katika eneo la Aberdares.

Show More

Related Articles