HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Jamaa za wahanga wa ajali ya ndege zalemewa na msiba 

Rais Uhuru Kenyatta ameomboleza vifo vya abiria wanane na marubani wawili walioangamia kwenye ajali ya ndege msituni Aberdare.

Familia ndugu, jamaa na marafiki walikuwa wamekusanyika katika hoteli moja hapa jijini Nairobi walipopata taarifa hiyo.

Mwanahabari wetu George Njoroge  kutoka kaunti ya Trans Nzoia alinena na familia ya mhandisi mwendazake Ngugi Kinyua, ambayo iliipata taarifa hiyo hii leo.

Show More

Related Articles