HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Miili ya abiria 8 na marubani 2 yaondolewa kwenye vifusi 

Miili ya abiria wote wanane na marubani wawili walioangamia kwenye mkasa wa ndege kwenye milima ya Aberdare imepatikana.

Mabaki ya abiria hao pamoja na ndege yenyewe yalipatikana baada ya maafisa wa uokoaji kuisaka kwa siku mbili bila mafanikio,  kutokana na hali mbaya ya anga katika maeneo ya milima ya Aberdare.

Show More

Related Articles