HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Bongo la ubunifu: Kutana na mkaazi wa Nakuru aliyejitengenezea gari kwa vyuma kuu kuu

Jamaa mmoja kutoka eneo la Lanet kaunti ya Nakuru amewashangaza wengi kwa ujuzi wake wa hali ya juu.
Joram Mawi mwenye umri wa miaka 38 amefaulu kutengeneza gari kwa kutumia injini ya pikipiki jambo ambalo amekuwa akitamani sana kwa zaidi ya miaka 5.
Mawi ambaye alisomea somo la udakatari katika chuo kikuu anaeleza kwamba alipata mafunzo ya kulitengeneza gari hilo kupitia mtandao wa Youtube.

Show More

Related Articles