HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

EACC yashtumiwa kwa kukabili tu visa vidogo via ufisadi 

Kivumbi kilitifuliwa katika bunge la Seneti baada ya kamati ya Seneti kuhusu sheria kuihoji tume ya kupambana na ufisadi dhidi ya kero la ufujaji wa mali ya umma.
Hata hivyo tume hiyo imejitetea kuwa imekabidhiwa faili 48 za wahusika wa matukio tofauti ya ufisadi Afisa Mkuu wa EACC Halake Waqo anasema 4 kati ya wanaochunguzwa ni magavana pamoja na wenyeviti wa tume tofauti.
Waqo alidai utendakazi wa tume yake hasa kupambana na ufisadi umeathiriwa na sheria hafifu ambazo zimebuniwa hivi majuzi.

Show More

Related Articles