HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Madaktari 50 kutoka Cuba wamewasili nchini

Uajiri wa madaktari kutoka nchini Cuba ungali unazua tumbo joto miongoni mwa madakatari wa humu nchini.
Kesi inayopinga hatua ya serikali kuajiri madaktari hao 100 ambao hamsini miongoni mwao waliwasili hapo jana imeskizwa hii leo.
Madaktari wa humu nchini wanalalama kwamba nafasi hizo zingepewa madaktari wakenya ambao hawana ajira.

Show More

Related Articles