HabariMilele FmSwahili

Gathoni Wamuchomba adai maisha yake yamo hatarini

Mwakilishi kinamama wa Kiambu Gathoni Wamuchomba ameandikisha taarifa kwa polisi akidai maisha yake yamo hatarini. Wamushomba amehusisha masaibu hayo na gavana Ferdindant Waititu akidai anamdhalilisha katika majukumu yake. Madia ya Wamuchomba yanachipuka siku moja baada ya naibu gavana wa Kiambu James Nyoro kudai Waititu anamdhalilisha

Show More

Related Articles