HabariMilele FmSwahili

Mabaki ya ndege aina ya Cesna iliyotoweka jana yapatikana katika msitu wa Aberdare

Mabaki ya ndege ya ndege aina ya Cesna iliyotoweka jana ikiwa na watu 10 yanadaiwa kumpatikana katika msitu wa Aberdare huku zoezi la kuwasaka waliokuwemo ikiendelea. Ndege hiyo iliokuwa ikosafiri kutoka mjini Kitale kuelekea katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta ilikuwa na watu 12 wakiwemo marubani 2 na abiria 10. Kwa sasa jamaa na rafiki za waliokuwa katika ndege hiyo wanakongamana katika hoteli ya Weston hapa jijini kupata maelezo zaidi kuhusiana na ajali hiyo.

Show More

Related Articles