HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Tunamuangazia mama anayetayarisha supu na nyama ya utumbo, Nakuru

Baada ya miaka mingi ya kutafuta kazi, hadi kutafuta kazi ikawa kazi kwake, Milcah Njeri kutoka mtaa wa Vineyard kaunti ya Nakuru aliona heri aanze kazi ya upishi wa nyama ya mitura na kupika supu.

Ni kazi anayohitaji kujitolea kwanza ukifahamu jinsia yake.

Alianza kwa shilingi elfu nne hivi ila sasa ni kazi iliyojisimamia.

Huyu hapa Joab Mwaura na maelezo ziadi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

Show More

Related Articles