HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mkurugenzi Mkuu KPC, Joe Sang akanusha Sh 95B zimefyonzwa 

Uchunguzi dhidi ya madai ya kufujwa kwa mabillioni ya pesa katika kampuni ya kusambaza mafuta nchini KPC umefikia kilele huku kikosi cha makachero kikibuniwa ili kutathmini kupotea kwa mali ya umma na ni nani wahusika wakuu kwenye sakata ya KPC.
Haya yanajiri huku maafisa watatu wa kampuni ya kusambaza mafuta KPC wakipewa likizo ya lazima ili kutoa nafasi kwa uchuguzi kufanywa.
Vile vile mkurungezi mkuu wa shirika hilo Joe Sang amepuuza madai ya kufujwa kwa shilingi billioni 95.

Show More

Related Articles