HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Magunia 1474 ya sukari iliyoingizwa kimagendo yanaswa, Eastleigh

Magunia 1474 ya sukari na mitungi 504 ya mafuta iliyoingizwa nchini kimagedo menaswa katika bohari ya Eastleigh jijini Nairobi.
Polisi sasa wanazuiliwa watu watatu wanaohusishwa na biashara  hiyo haramu .
Akizungumza katika makao makuu ya jinai Inspecta Generali wa Polisi Josephh Boinet amesema kuwa sukari hiyo iliyonaswa mtaani Eastligh ilikusudiwa kuuzwa nchini licha ya kutokuwa salama kwa matumizi ya binadamu.

Show More

Related Articles