HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Ripoti imethibitisha kulikuwa na kitendo cha ngono

Huku serikali ikionekana kuchukua hatua kadhaa baada ya madai ya ubakaji katika shule ya upili ya wasichana ya Moi, hii leo ripoti ya daktari kuhusiana na madai ya ubakaji imetolewa.
Kulingana na ripoti hiyo ni dhahiri kulikuwa na uhusiano wa kingono kati ya muathiriwa na mshukiwa japo kuna tashwishi kilikuwa kisa cha ubakaji.

Hata hivyo ripoti hiyo imezua maswali kadhaa ambayo yanahitaji uchunguzi zaidi ili kujua ukweli wa mambo.

Show More

Related Articles