HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mwanafunzi wa Moi aliyebakwa amezungumza na K24 Saa Moja

Watu watano wamechukuliwa chembechembe za DNA kufuatia kisa cha mwanafunzi kubakwa katika shule ya wasichana ya Moi jijini Nairobi.
Wakati huo huo pia wafanyakazi wa mjengo shuleni humo walikaguliwa na kisha mwanafunzi muathiriwa kupelekwa katika makao ya upelelezi wa jinai alipohojiwa kwa zaidi ya saa nane.
Baada ya hayo yote mwanahabari wetu mpekuzi Franklin Wallah alikutana na msichana huyo kuelewa hasa nini kilijiri hata uchunguzi unapoendelea.

Show More

Related Articles