HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Laana ya Pacha: Baadhi ya mbari magharibi mwa nchi huwaua watoto pacha

Familia nyingi huona kwamba kufanikiwa kuzaa pacha ni kama kumiminiwa baraka mara dufu.

Mkengeuko wa mambo ni kwamba baadhi ya wenyeji katika baadhi ya mbari za jamii ya Luhya huchukulia kujaaliwa pacha kama laana hivyo basi mwanamke anayejifungua pacha analazimishwa kumtaliki mumewe na kisha kurudi kwao na pacha wake la sivyo pacha hao watauawa eti familia hiyo iepuke mauti.

Dennis Matara, alizungumza na wanawake kadhaa waliopatwa waliolazimika kuishi kwa upweke na wanao kwa kuhofia tambiko la kuwaua pacha.

Show More

Related Articles