HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mkaazi Gatanga apigwa hadi kufa kwa kudaiwa kuiba parachichi

Familia moja katika kaunti ya Murang’a inalilia haki kufuatia kifo cha mwanao wanayedai aliuawa na mabawabu wa kampuni ya Kakuzi kwa madai ya kuiba parachichi.

OCPD wa eneo hilo amedhibitisha kuwa kisa hicho kiliripotiwa huku upekuzi ukiashiria kwamba mabawabu hao wamekuwa na tabia ya kuwapiga washukiwa wa wizi badala ya kuwakamata na kuwashtaki.

Show More

Related Articles