HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakiritimba mahakamani walaumiwa kwa kuhujumu vita hivyo

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi, EACC imeishtumu idara ya mahakama kwa kuhujumu mkondo wa sheria na kupinda baadhi ya maamuzi yanayofaa kuhakikisha kuwa washukiwa wa ufisadi wanaopatikana na hatia wanakabiliwa vilivyo kisheria.

Bunge kwa sasa linapania kubuni sheria zaidi ambazo zitasaidia taasisi husika kuwa na uwezo wa kukusanya ushahidi ulio na uzito ili mahakama isiwe na vijisababu kuhusiana na jinsi inavyotoa uamuzi wake kuhusu kesi za ufisadi.

Show More

Related Articles