HabariMilele FmSwahili

Washukiwa 15 wa wizi wakamatwa na polisi eneo la Taj Mall Nairobi

Polisi eneo la Taj Mall Nairobi wamewatia mbaroni watu 15 wanaoshukiwa kuwaibia watu wanaotembelea barabara ya Underpass karibu na jumba la Taj Mall mtaani Embakasi. Oparesheni kali inaongozwa na kamishna wa Embakasi Jackson Letangule imeanza mapema leo baada ya wenyeji kulalamikia kuibiwa mchana peupe na washukiwa waliojihami.

Show More

Related Articles