HabariMilele FmSwahili

Baraza la magavana kutoa taarifa rasmi leo kuhusu hali ya ugatuzi nchini

Baraza la magavana litatoa taarifa rasmi leo kuhusiana hali ya ugatuzi nchini. Mwenyekiti gavana wa Turkana Josephat Nanok ataweka bayana mafanikio ya serikali za kaunti za kaunti katika kufanikisha ugatuzi katika kipindi cha mwaka 2017/2018. Swala la kuongezwa mgao wa fedha kwa kaunti linatarajiwa kuangaziwa katika hotuba hiyo huku magavana wakitarajiwa kuendelea kushinikiza serikali pia kutatua tatizo la utoaji fedha kwa kaunti kuchelewa.

Show More

Related Articles