HabariSwahili

Watu 19 wajeruhiwa baada ya kuanguka wakining’inia kwenye mti ,Meru

Watu 19 walijeruhiwa leo baada ya kuanguka kutoka kwenye mti wakati wakifuatilia sherehe za Madaraka katika uwanja Kinoru huko Meru.
Ilibidi waandalizi wa sherehe hiyo  kuwafungulia lango  wale waliokuwa wamefungiwa nje ya uwanja huo.

Show More

Related Articles