HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Katika Kaunti Ya Kilifi Watarajiwa Kunufaika Na Ufadhili Wa Kimasomo.

Wanafunzi kaunti ya Kilifi watapata afueni zaidi endapo gavana wa kaunti hiyo atatia saini marekebisho ya sheria ya ufadhili wa masomo ambayo imewasilishwa kwake.

Akizungumza na wanahabari katibu wa elimu kaunti hiyo Prof. Gabriel Katana amesema sheria hiyo inalenga kuwafadhili wanafunzi kutoka kidato cha kwanza hadi kidato channe na hata chuo kikuu kwa watakao faulu kinyume na hapo awali.

Katana amedokeza kuwa kati ya shilingi milioni 350 hadi 500 zimetengwa kwa ajili ya ufadhili huo

Show More

Related Articles