HabariSwahili

Mauaji mlima Elgon : Washukiwa wawili wakuu wafunguliwa mashtaka Bungoma

Washukiwa wakuu wanaodaiwa kupanga mauaji eneo la mlima Elgon Timothy Kiptanui  almaarufu Cheparkach na nduguye  Kitai Ngeiywo sasa wametoa madai kwamba walifadhiliwa kutekeleza maovu hayo.
Mbele ya  hakimu  Gabriel Omondi katika  mahakama ya Bungoma,wawili hao wamedai kufadhiliwa na mbunge mmoja na kamishna mmoja wa zamani.

Show More

Related Articles