HabariMilele FmSwahili

Gavana Joho akutana na seneta Moi na kukubali kushirikiana katika agenda ya kuunganisha taifa

Gavana wa Mombasa Hassan Joho na seneta wa Baringo Gideon Moi wamekutana na kukubaliana kushirikiana katika agenda ya kuunganisha taifa. Wakihutubia wanahabari baada ya mkutano huo, wawili hao wamesema mwafaka wa rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga unawpa nafaisya kuzunguka maneo yote nchini ili kuhamasisha wakenya kuungana ili kumaliza ukabila. Pia wanasema huu ni msingi muhimu wa siasa za hapo baadaye.

Show More

Related Articles