Milele Fm

Maandalizi ya sherehe za Madaraka zitakazoandaliwa Meru yakamilika

Maandalizi ya sherehe za Madaraka zitakazoandaliwa huko Meru yamekamilika. Wcylife Ogallo mshirikishi wa serikali eneo la mashariki anasema lango litafunguliwa saa kumi asubuhi akisema usalama umeimarishwa. Hata hivyo amewataka watakaohudhuria kuwa macho na kuripoti visa vyovyote watakavyoshuhudia.

Show More

Related Articles