HabariMilele FmSwahili

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kudhibiti matumizi ya tumbako

Kenya imeungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya kudhibiti matumizi ya bidhaa za tumbako leo matumizi ya bidhaa hizo yakiarifiwa kusalia kuwa juu nchini. Inaarifiwa kuwa wakenya hutumia shilingi zaidi ya milioni moja kwa siku katika matumuzi hayo. Aidha uvutaji sigara unaongoza mvutaji akiarifiwa kuvuta sogara tisa kwa siku. Hii ni licha ya watu milioni 7 kuarifiwa kufariki kote duniani kila mwaka kutokana na matumizi ya bidhaa za tumbako.

Show More

Related Articles