HabariMilele FmSwahili

Serikali ya kitaifa kutumia bilioni 4 kukarabati barabara kaunti ya Nairobi

Serikali ya kitaifa itatumia shilingi bilioni 4 kwa ukarabati wa barabara zilizoko kaunti ya n Nairobi. Akiongea huko Jacaranda rais Uhuru Kenyatta sehemu za mashariki mwa jiji zitapewa kipau mbele kwenye ujenzi huo. Rais amewataka wenyeji wa kaunti ya Nairobi kupiga ripoti iwapo hawatashuhudia ujenzi wa barabara ukianza jijini. Ameonya wanakandarasi watakaopewa jukumu hiyo akisema wako macho hasa baada ya kutumika visivyo kwa shilingi bilioni 3.2 zilizotengewa mradi sawa na huo.

Show More

Related Articles