BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Juakali Amiminia Sauti sol Sifa Tele.

Msanii wa kizazi kipwa na Mwanzilishi wa mziki wa n’gen’ge Jua kali apongeza Sauti sol kwa kuinua hadhi ya mziki hapa nchini.
Melanin kazi ya sauti sol pamoja na Patoranking ndio kazi ya wa kwanza kufikisha Views elfu kumi katika mtandao wa youtube  hapa nchini.
Short na sweet kutoka kwao sauti sol pamoja na Nyashinski pia yaendelea kufanya vizuri ikiwa na views millioni 1.4 kwa mda wa chini ya siku kumi. Juakali ameonekana kufurahishwa na kazi nzuri ambao wanayo endelea kufanya na kusema hivi:

“Sauti Sol watu wangu manze nataka manze kuwabig up sana jo kwa hizi projects munafanya manze. Yani jo munapush hio boundary, yani jo munapeleka ngoma zetu, ngoma za Kenya to the next level manze. Yani ngoma jo inaweza chezwa Zambia, ngoma inaweza chezwa Angola, inaweza chezwa ata China manze. So big up sana endeleeni hivyo hivyo sio. Alafu next time jo make it ‘Long N Sweet’ au sio. Morale Jua Cali hapa respect,make it ‘Long N Sweet’ au sio. Morale Jua Cali hapa respect.”

Show More

Related Articles