HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta na Gavana Sonko kuzindua miradi muhimu jijini Nairobi leo

Rais Uhuru Kenyatta na gavana wa Nairobi Mike Sonko watazindua miradi muhimu hapa jijini Nairobi hivi leo. Miradi hiyo ni pamoja na ukarabati wa barabara ya Rabai chini ya mpango ambao umeshirikisha kaunti ya Nairobi na serikali ya taifa kukarabait barabara za Nairobi anavyoelezea waziri wa uchukuzi James Macharia.

Wenyeji zaiid ya 50,000 katika mtaa wa Eastlands pia watafaidia na hati milki ambazo zitatolewa kwao na rais kupitia wizara ya ardhi, yake Farida Karoney.

Show More

Related Articles