HabariSwahili

Mgaagaa na upwa : Agnes Kiunga amepata umaarufu kwa kuneng’ua kiuno na ‘Sauti Sol’

Amegonga vichwa vya habari kwa muda wa wiki moja baada ya kucheza densi na kunata macho ya wengi kwenye wimbo mpya wa kundi la Sauti Sol kwa anwani Short and Sweet.
Mikondo yake kwenye video hiyo imempa umaarufu kwenye mitandao ya kijamii, huku wengi wakimsifu. Si mwingine ila ni Agnes Kiunga, ukipenda Aggie the Dance Queen.
Basi mwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii, mwanahabari wetu Joab Mwaura, anamwangazia aggie ambaye kupitia densi anajipa rizki yake ya kila siku.

Show More

Related Articles