HabariSwahili

Mume amuua mkewe kufuatia ugomvi baada ya kubugia Chang’aa, Narok

Wakazi wa eneo la Mulot kaunti ya Narok wanaomboleza mauaji ya mwanamke mmoja ambaye aliangamizwa na mumewe baada ya ugomvi baina yao.
Yadaiwa Faith Chepkemoi aliyekuwa na umri wa miaka 35 aligombana na mumewe walipokuwa wakitoka kwenye maficho ya chang’aa walikojiburudisha kwa pombe hiyo haramu.
Hayo yakijiri watu sita wamefariki kufuatia ajali ya barabarani kwenye barabara ya Meru-Mikinduri.

Show More

Related Articles