HabariSwahili

Washukiwa wa NYS kizimbani

Watu 20  wanaoshukiwa kupora  fedha za shirika la huduma kwa vijana NYS wamefikishwa mahakamani.
Washukiwa 34 ambao pia walikuwa kwenye  orodha ya washukiwa 54 hawakufika  mahakamani .
Kesi hiyo imeendelea  kwa zaidi ya saa 6,  huku washukiwa wakitaka waachiliwe kwa dhamana, kama anavyosimulia Franklin Macharia.

Show More

Related Articles