HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Katibu Lilian Omollo akiri wakiritimba wameliteka shirika hilo

Imebainika zaidi kwamba makundi ya wakiritimba yameteka na kulemaza shughuli za shirika la huduma kwa vijana NYS, ambalo limekumbwa na sakata nyingine ya shilingi bilioni 9.

Katibu wa wizara ya jinsi na vijana, Lillian Mbogo Omollo ambaye alifika mbele ya kamati ya bunge kuhusu uhasibu leo, alikiri kwamba makundi hayo ya ukiritimba ndiyo ya kulaumiwa kwa changamoto wanazopitia hivi sasa hasa katika usambazaji wa vyakula na sare na kwamba makundi hayo yanawatisha maafisa wa serikali.

Show More

Related Articles