HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Naibu Rais Ruto ataka adhabu kwa wote waliowalaghai wakulima 

Naibu Rais William Ruto ameamuru kushtakiwa kwa kila mtu ambaye atapatikana kuwa alishiriki ufisadi katika sakata kadhaa zinazoendelea kujitokeza nchini, hasa waliohusika kuwalaghai wakulima wa mahindi.
Ruto ameshikilia serikali itahakikisha wote hao waliotajwa wamechukuliwa hatua kali huku akitaka tume ya kupambana na ufisadi kujizatiti..
Viongozi katika mirengo tofauti nchini akiwemo Seneta wa Baringo Gideon Moi na chama cha ODM pia wameelezea kughadhabishwa kwao na ufisadi unaozidi kukithiri.

Show More

Related Articles