HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Baadhi ya wafanyibiashara waliotajwa wajitetea kuwa ni wakulima

Kumeibuka utata kuhusiana na kiwango cha mahindi yaliyouziwa halmashauri ya nafaka na mazao NCPB hata baada ya baadhi ya wafanyibiashara waliotajwa kufaidi mabilioni ya pesa badala ya wakulima kujitokeza na kujitetea leo.
Baadhi ya wafanyibiashara hao wamejitokeza na kusema kwamba wao ni wakulima halali na wala sio wakiritimba huku kukiibuka tofauti kati ya kiwango cha mahindi yaliyonunuliwa kutoka kwa wakulima na kile kilichowasilishwa kwa NCPB.

Show More

Related Articles