HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta azindua mpango wa kuharakisha miradi ya maji

Watu wawili wameaga dunia katika eneo la Baringo kusini huku familia 300 zikiachwa bila makao baada ya Mto Tabunyang’ kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa inayonyesha katika eneo hilo.

Hayo yakijiri Rais Uhuru Kenyatta amezindua mpango kwa jina la kimombo ‘rapid response initiative’ wa kuhakikisha kuwa huduma za maji zimetekelezwa kwa haraka .

Mpango huo unafaa kutekelezwa katika muda wa siku100.

Show More

Related Articles