HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Katibu Richard Lesiyampe afichua watu 18 waliofaidi Sh 1.9B za NCPB

Sasa imebainika kwamba wakulima wenye ushawishi wa kisiasa kutoka eneo la North Rift ni baadhi ya watu wanaodaiwa kufaidi na sakata inayozingira bodi ya mazao na nafaka nchini, NCPB
Akifika mbele ya kamati ya uhasibu bungeni hata hivyo, katibu katika wizara ya kilimo Richard Lesiyampe leo alifichua majina ya watu 18 ambao walilipwa jumla ya shilingi bilioni 1.9 ambao inaaminika ni watu waliotumiwa na wanasiasa wenye ushawishi kuvuna mabilioni hayo huku wakulima wakisalia kutaabika na kukadiria hasara.

Show More

Related Articles