HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

CBK yalaumiwa kwa utepetevu uliopelekea Sh 9B za NYS kufyonzwa 

Je, benki kuu nchini ilishinikizwa kisiasa kufumbia macho sakata ya shilingi bilioni 9  katika shirika la huduma ya vijana kwa taifa, NYS?
Hili ndilo swali wanaojiuliza wakenya huku maafisa wakuu wa benki hiyo wakiwa kwenye mkutano wa faragha mchana mzima leo.
Aidha duru zimeiarifu K24 saa moja kwamba pia huenda zaidi ya benki sita zitachunguzwa na idara ya upelelezi wa jinai huku CBK ikitarajiwa kutoa ripoti kamili jumanne wiki ijayo.

Show More

Related Articles