HabariMilele FmSwahili

Watu 13 wasiokuwa raia wa Kenya wapatikana na stakabadhi ghusi za utendakazi

Watu 13 wasiokuwa raia wa Kenya wamepataikana na stakabadhi ghushi za utendakazi. Hii ni baada ya wizara ya usalama wa ndani kuendesha ukaguzi wa stakabadhi za kazi zilizotolewa kwa wasiokuwa raia wa Kenya ili kuwawezesha kuhudumu nchini. Tayari waziri wa usalama dr Fred Matiangi ametoa onyo kali la kukabiliwa wanaotoa vibali hivyo ghushi na wanaovimiliki katika muda wa siku 60.

Show More

Related Articles