HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kiunjuri afichua wakiritimba 10 waliofyonza Sh 1.9B za wakulima

Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri amethibitisha kwamba kundi la walaghai kumi walipokea shilingi bilioni 1.9 za wakulima wa mahindi kutoka kwa bodi ya nafaka nchini NCPB.

Wakulima wadogo wadogo elfu tano walifaa kupokea pesa hizo baada ya kuwasilisha mahindi yao kwenye magala ya NCPB, lakini kutokana na sakata iliyowahusisha wakiritimba na viongozi wa bodi hiyo wakulima hao sasa wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa.

Tayari viongozi kadha wa bodi hiyo wanachunguzwa kuhusiana na sakata hiyo.

Show More

Related Articles