MichezoMilele FmSwahili

Unai Emery hatimaye atajwa kama kocha mpya wa Arsenali

Hatimaye klabu ya Arsenali imemtaja rasmi Unai Emery kama mkufunzi wa klabu hiyo. Emery mwenye ukuu wa miaka 46 na anayejiunga na wanabunduki hao baada ya kuondoka PSG ana kibarua cha kuirejesha Arsenali miongoni mwa mabingwa wa ligi kuu nchini England.

Aliondoka PSG baada ya kuwaongoza kubeba ubingwa wa league 1 . akiwa sevilla , aliwaongoza kubeba ligi ya Uropa mara tatu mfululizo.

Pale emirates anajaza nafasi iliyowachwa wazi na Arsene wenger ambaye ameondoka baada ya kuwaongoza wanabunduki hao kwa miaka 22.

Show More

Related Articles