HabariPilipili FmPilipili FM News

Madaktari Washtumiwa Kusahao Sindano Katika Sehemu Za Siri Za Msichana Aliye Kuwa Akijifungua.

Msichana wa miaka 18 amepatikana na sindano katika sehemu yake ya siri baada ya madaktari kusahau sindano hiyo kwa mwili wake wakati alipokuwa anajifungua tarehe 10 mwezi huu katika zahanati ya  Buholo mjini Bungoma.

Oparesheni hiyo ilifanywa baada ya mtoto kukataa kutoka,hata hivyo alianza kuhisi uchungu wiki mbili baadae na akapelekwa katika hospitali ya rufaa Bungoma na Baada ya kufanyiwa uchunguzi ndipo sindano hiyo iligunduliwa.

Hospitali ya rufaa ya Bungoma hata hivyo imesema haiwezi kutoa sindano hiyo kwasababu mashini zao za upasuaji zimeharibika.

Show More

Related Articles