HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu Rais Ruto awasuta vikali wanaounga mkono mabadiliko ya katiba

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga anatarajiwa kurejea nchini kutoka ziara ya Ughaibuni huku suala zima la siasa za kuwepo au kutokuwepo kwa kura ya maamuzi likizidi kuvutia hisia kali za kisiasa.
Naibu wa Rais akizungumza Mombasa amefokea viongozi wanoasingizia mfumo wa sasa wa katiba kama chambo cha kushindwa kwao kwenye uchaguzi huku k24 saa moja ikibaini kuwa kuna baadhi ya wandani wakuu wa Rais Uhuru Kenyatta wanaodai kuwa ni lazima kutakuwepo mabadiliko ya kikatiba.

Show More

Related Articles