HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa: Mkaazi wa Nakuru anayetengeneza sharubati maridhawa ya miwa

Biashara ya  sharubati ya miwa imenoga katika mitaa mingi nchini.

Na jinsi biashara inavyonoga ndivyo wengine wanavyobuni namna tofauti ya kuhakikisha kuwa biashara yao inavutia wateja zaidi.

Kutana na Patrick Ndegwa ambaye kando na kutengeneza sharubati hiyo anabuni njia mbadala ya kuongeza virutubishi zaidi kwenye sharubati ili kuwavutia wengi zaidi.

Show More

Related Articles