HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Ruto: Serikali za Kaunti zimepoteza Sh500M kwenye kesi

Serikali za kaunti zimepoteza zaidi ya shilingi milioni 500 kwa malipo ya mawakili katika kesi mbalimbali ambazo zimekabili serikali za kaunti.

Haya ni kulingana na Naibu Rais William Ruto ambaye ameliagiza bunge la seneti kubuni sheria itakayoratibu njia mbadala ya utatuzi wa kesi za kaunti pasi na kuhusisha mahakama.

Haya yanajiri huku wawakilishi wa wadi wakiendelea kushinikiza kubuniwa kwa hazina maalum ya wadi.

Show More

Related Articles